GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, August 28, 2013

The Wedding Of Janeth and Derrick. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.


Derrick and Janeth hakika walipendeza sana

NimekubaliHakika Janeth alilitendea haki gauni lake la harusi

Nice


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

The Girls


The Boys

Pingu

Dah Nimeikubali hi keki
First Dance


Jamani Mwisho wa kunuku. Nawatakia maharusi hawa maisha yenye furaha, amani na upendo