GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, April 25, 2013

Coming soon! Ruth Night. Onja kidogo chakula bado kiko jikoni!

Ruth safi sana hakika alipendeza sana
Ruth akiwa na Matron wake

Upendo kwa wazazi

Upendo kwa kakaMwisho wa kuonja kwa leo


Friday, April 19, 2013

The wedding of Patrick and Damaris. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiriDamaris and Patrick safi sana hakika walipendeza sana. Kiswagga zaidi


Nimekubali hili swagga


Kwakweli huwa kama maharusi wanakuwa wametenga muda mrefu wa kupiga picha lazima kuwe na maswagga makali. Safi sanaHakika Damaris alilitendea haki gauni lake la harusi

Safi sanaIn LoveMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron

Patrick akiangalia kiatu cha mke wake Damaris. Safi sana

Kiatu cha Bi harusi kikitowa swagga


Bi Harusi akiwa na the girlsSafi sana kweli nimewakubali

The BoysSwagga la Baba mwenyenyumba
Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa Maisha mema yenye furaha, upendo na Amani