GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, January 8, 2011

Breaking news Conrad Afunga pingu za maisha na Jackie.

Conrad na My wife wake Jackie

Gari lililobeba mahausi

Gari la maharusi kwa ndani

Jackie akielekea kanisani

Kama alikuwa anasema mwenye wivu ajinyonge

Kanisa walipofungia pingu za maisha. Hi picha nimeipenda sana

Nakumbuka hapa bwana harusi alikuwa anamsubiri mke mtarajiwa. 

Hatimaye Jackie akawasili

Maharusi wakiingia ukumbini. 


Hili uwa kule kwetu hakuna ngoja nilipige picha. Hakika huyu dada alikuwa anasema kimoyomoyo.


Conrad unakubali kufunga pingu ndio

Jackie unakubali Ndio


Alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe

Watu walifurika kanisani

Conrad akimtandika pingu Jackie

Jackie akimtandika pingu Conrad


Wakapiga kiss  takatifu

Conrad akiwapungia ndugu jamaa na marafiki baada ya kufunga ndoa sasahivi

Maharusi wakifurahia pingu walizo fungana
Maharusi wakapiga picha ya pamoja na Padri aliye wafungisha ndoa

Hongereni sana  na mmependeza

Bi harusi Jackie akitowa swagga na watoto walio wasimamia

Safi sana. Nitawaletea matukio mengine baadae. Ngoja tueleke ukumbini