GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, May 3, 2016

The Wedding of Goodluck and Jessica. Onja Kidogo jinsi Mambo yalivyojiri!


Hakika Goodluck  na Jessica walitokelezea. Safi sanaNiceSwagga la LoveSwagga la Baba Mwenye Nyumba


Hakika Jessica alilitendea haki gauni lake


Swagga la Mama Mwenye Nyumba

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

o
NiceKama Kawa Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mlimani City

Nimekubali hii kekiDah na mimi najikubali.


Nice
Kweli niliutendea haki huu ukumbi Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read moreKama Kawa Maznat Bridal care walimtendea haki Jessica
Mc wa shuhuli
Mama na Mwana. Safi sana. Kweli mmefanana.


Kudumisha Mila


Mwisho wa Kunuku