GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 4, 2016

Maria's Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Maria alipendeza sana. Nice
Safi. Ukipendeza lazima utatabasamu tuu.


Hakika Maria alilitendea haki gauni lake

Maria akiwa na Matron wake

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Swagga la Aksante 
Safi
The GirlsUpendo kwa wazazi
Maria akimtambulisha mume wake mtarajiwa. ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs

Safi


Kweli Mariam amempa heshima ya kipeke mume wake mtarajiwa kwa kumualika kukata kekiLol siku nilipo kwenda kwenye sendoff ya wife hata sikulishwa keki @@@@ hah hahhhhhhh.
Mrisho wa kunuku