GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 31, 2011

The Wedding of Claudio and Adelina. Na Beep Kidogo

Claudio na Adelina. Safi sana. Hakika mlipendeza sana

Nice





Hakika Claudio na Adelina wametendea haki pamba zao dah nimekubali














Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron.

Safi sana


Adelina akiwa na Matron




Nice



Claudio aka mume wa Adelina. Safi sana Mkuu


Swagga la Baba Mwenyenyumba



The Girls. Safi sana hakika mlipendeza sana






The Boys











Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond J-Kubwa

Keki Safi sana

Kwakweli nimependa mpambaji alivyo utendea haki ukumbi basi namimi ikabidi nitende haki kunuku manzari kama ilivyo







Jamani mwisho wakunuku. GRM inawatakia Claudio na Adelina maisha mema yenye furaha, amani na Upendo