GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 10, 2011

Jumapili ya jana ilikuwa ni siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu, Familia yangu na wadau kwakuwa pamoja nami . Aksante sana. Dah kwakweli ngoja nijiwish Happy Birthday.

Happy Birthday GRM



Kama kawa vijana wangu walinisupprise maana tulikuwa tunapiga kazi na ilipofika saa sita usiku wakanitandika na hi keki. Dah akasante sana

Salamu mbalimbali za HappyBirthday zilianza kumiminika. 

Masuper model wetu nao walinisupprise. Wakanitandika keki. 


Thanks For the support

3 comments:

  1. kaka kumbe hao mamodel wetu ni wanao au nimeelewa vibaya kama nitakuwa nimekukwaza nisamehe.

    ReplyDelete
  2. Hao masuper model uanze kuwafundisha nao kazi yako mapemaa ili waendeleze libeneke huko baadae inabidi tuwe kama wadosi akiwa mkubwa mkubwa masafa unaenda naye aone bidhaa zinapatikana wapi haswa huyo wa kiume

    ReplyDelete