GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, October 27, 2014

R.I.P Dr Kephas Kansolele Ntavi na Pole Sana Dada Dorothy!

R.I.P Dr Kephas Kansolele Ntavi. 

Taarifa fupi tuu ni kwamba leo ndio mazishi ya mpendwa wetu pale katika makaburi ya Kinondoni saa tisa 3:pm. Na Ibada  pamoja na kutoa heshima ya mwisho ni nyumbani kwa marehemu kunduchi Beach kuanzia 9:am. Nyumbani kwa marehemu ni kunduchi beach opp na Chuo cha Jeshi. kabla haujamaliza chuo cha jeshi mkono wako wa kushoto ukishaona Bekari ya kutendeneza mikate, kabla haujaipita kunabarabara ya vumbu imechongwa basi ukishuka nayo kidogo upande wa kushoto ndio  nyumbani kwa Dr Kephas K.N

Mwili wa mpendwa wetu ukiwasili nyumbani kwake hapo jana -Sunday

Mzee wa Tupogo akiimba wimbo maalumu
Mke wa Kephas Dada Dorothy-Dorca catering akilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lililokuwa na Mwili wa mumeo

Mtoto wa marehemu akilia kwa uchungu. Dah msiba usikie kwa jirani tuu!


Samahani wadau kama nitakuwa nimewaharibia siku yenu ya jumatatu.

Nakumbuka kuna saa mzee alishindwa kupiga kwa sababu Dr Kephas alikuwa anamsaport sana
Pole sana Dada Dorothy. Tuko pamoja