GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, October 9, 2014

Happy Birthday to me Jamani. Nimezaliwa leo!

Thanks kwa masalamu ya siku yakuzaliwa. Kweli kilometa zinasonga. 9-10-0000


Yani toka asubuhi natizama nje labda kuna ka BWM X 7 nitapewa. Kisikia sauti ya gari basi nachungulia. Dah Bila bila na muda unasonga. Sasa matumaini ndio yanazidi fifia. Ila harufu ya pilau naisikia na kambuzi kalikuwa kanalia sasa naona kamenyamaza. sijui ndio kanachomwa!

Nimepokea salamu Simon

Nimepokea salamu zako Sasha

Salamu zimefika. Sasa hi management ya GRM haijakutana labda mkasema huyu mpigapicha labda tumpe ka BWM X7. Basi kama mambo bado japo ka Iphone 9 !!!!!!!!!@@@@

Nimepokea salami zako Rehema- My Wife


Dah Ma super model wetu wanazidi kukuwa


Aksanteni wadau wa GRM  kwa kuendelea ku support na Kuikubali GRM Production. Kwa kweli nilipotea kidogo sasa nimerudi rasmi.