![]() |
| Hakika Mecklaud and Scholastika walipendeza sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| That Moment ....... |
![]() |
| Hapa nampa tano Mecklaud. Hili swagga niwachache wanaliweza. Kama umeva suti ya kichina hauwezi toa hili swagga! Maana utasikia paraaaaa suruali na koti vimechanika. hapo ndipo utalijua jiji! |
![]() |
| Safi. Sasa tusubiri kama kuna mtu atalipa hili swagga, na akilipa nitalileta hapa |
![]() |
| Duuu safi. Hawa ni Morani aise! |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Scholastica alilitendea haji gauni lake. Safi sana |
![]() |
| Swagga la baba mwenye nyumba. Itabidi utupe data hi suti umeinunua wapi . Safi sana |
![]() |
| The Girls |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Mwisho wakunuku. Nawatakia weekend njema wadau wa GRM production |







































No comments:
Post a Comment