GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, October 15, 2014

The Wedding of Allen and Magreth. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Allen na Magreth walitokelezea. Safi sana

NiceMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron

Swagga la hayawihayawi sasa yamekuwa. Safi sana


Swagga la baba mwenye nyumbaThe team


The BoysKwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreKama Kawa Glam Madam alimtendea haki Magreth
The MomentNimewakubali sana hawa maharusi. Kweli walikuwa na furaha sanaSwagga la Ruka juuuu

The girls
Upendo kwa wazaziMaharusi wakiwa na Mc . Safi sana. kweli namkubali sana Deusi.
SafiHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbiJamani Mwisho wakunuku