GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, October 23, 2013

Lemmy Night. Onja kidogo Lemmy alivyokuwa anajianda. Ndio kwanza ninawasha jiko nianze kupika

Dah! Hakika Lemmy alipendeza sana

Nice
Mwanamke kutabasamu

Hakika Lemmy alilitendea haki gauni lake . Safi sana mwanamke kujipanga.

Swagga

Dah safi sana.Lemmy akiwa na Matron wake. 

Safi


Mwanamke jicho


Dah kweli Lemmy alijipanga. Nimependa jinsi alivyochagua rangi. Kweli Wametokelezea
Safi

Nimekubali


Hapa Nimejikubali mwenyewe

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read MoreKiatu kikitowa swagga

Hakika Glam Madam alimtendea haki Lemmy
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreLemmy akijikubali

Glam Madam akiwa kazini
Lemmy akiwasiliana kwa simu na Mama yake. Nakumbuka Mama Lemmy alikuwa anauliza mbona unachelewa haumalizi tu. Hakika Mama Kapata jibu sasa hahh  nakutania tu Mama usije nikimbiza bureeee

SafiLemmy akitowa swagga na gauni lake

Namimi nikatowa swagga kwa mbali

Kama nilivyosema chakula bado kiko jikoni. Nitawaletea maswagga zaidi. hapa ni saloon tuu bado ukumbini.
Mwisho wakunuku