GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, October 29, 2013

Hellen alivyokuwa anajianda kabla ya kwenda kufunga pingu na Tibe. Onja kidogo!

Hakika Hellen alipendeza sana


Safi sana


Hellen akijikubaliNice


Dah nimekubali hili gauni la harusi. Hakika Hellen kalitendea haki

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


Safi. Mwanamke kujipanga


 Swagga
Hellen akiwa na Matron wakeMatron akitowa swagga
Kama kawa Glam Madam alikuwa mzigoni


Nice

Nimeipenda hi. naona mpaka flash ya camera ikatowa moto

Jamani Mwsho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni