GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, October 11, 2013

Julia's Night. Onja kidogo jinsi mambo lalivyojiri katika ukumbi wa Msasani Beach Club.

Hakika Julia N Jitenga alipendeza sana.
Julia akiwa Matron wake. Safi danaJulia akiwa na Mume wake mtarajiwa.Safi. Hakika Julia alipendeza sana Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more


Upendo kwa Baba. Safi sana
Julias akiwa saloon kwa Glam Madam

Kikazi zaidiJulia akikikubali kiatu chake. Safi sana. Kama Sinderella Story.

NiceJulia akiwa saloon kwa Maznat


Nice. Dah hakika Julia alipendeza sana

Safi
Julia akiingia ukumbini


Keki

Mwanamke 'kuringa'Upendo  kwa baba. Julia akimpa zawadi baba. Safi sana


Jamani Mwisho wa kunuku.