GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, October 22, 2013

Sumay's Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Sumay alipendeza sana. Hongera dada.

Nimekubali hili gauni. Mwanamke 'kujipanga'

Sumay akiwa na Matron

Hakika Sumay alilitendea haki gauni lake.


Sumay akiwa na Mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

kweli wamependeza 

Sumay akimuangalia Mumewake mtarajiwa kwa jicho la...... Najuwa hapa alikuwa anatamani ndio iwe ile siku ya ndoa!!!!


Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Gauni likitowa swagga
Dada wa Glam Madam akiwa kazini


Swagga la kucheza na kiooSwagga Sumay akilikubali gauni lake


Safi. Hakika ulijipangaUpendo kwa Mama


Mwali akiingia ukumbiniMwisho wakunukuSumay akimpa zawadi ya saa mume wake mtarajiwa. Mhh ila hi zawadi simchezo- Mr umepewa saa chelewa nyumbani uone.  

Dah Kulikuwa na Msosi wanguvu
Mwisho wakunuku