GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 31, 2012

The Wedding of Eric Mushi na Gudila. Na beep kidogo tu maswagga ya kwenye Mobile Studio

Eric na Gudila Safi sana hakika mlipendeza sanaNice

In Love

Gudila Mke wa Eric
Swagga la Baba Mwenye Nyumba


Nice. Swagga la Mama Mwenye NyumbaDah safi sana
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana

Upendo kwa wazazi. Jamani mwisho wa kunukuuuu

Thursday, January 26, 2012

Racher Maureen Night's. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri

Nice! Hakika Racher Maureen ulipendeza sana


Safi sana

Hakika Bi harusi mtarajiwa ulilitendea haki hili gauni

Safi sana

Nimekubali hili swagga na hichi kiatu simchezo. Bila shaka ni CL


Nimekubali

Mwanamke nywele!

Nice


Bi harusi mtarajiwa akiwa na Matron. Safi sana


Shemeji. Bila shaka sasahivi hawa ni Mr and Mrs. Safi sana

Nice


In LoveFamily Moment. Safi sana

Upendo kwa Mama


Burudani-Nimemkumbukaje Mr Ebo

Burudani

Duuuuu

Makabiziano. Inapendeza washenga wakiwa vijana 

Dah Nimekubali hi Keki
Nice

Safi sana

Mila ikidumishwa

Bi Harusi mtarajiwa alikuwa anamtafuta mume wake mtarajiwa. Na alimpata

Dah Kweli full in Love. Jamani Inatosha nisimalize uhondo wote. GRM Production inawatakia maharusi hawa maisha mema yenye Furaha, Amani na Upendo.