GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 28, 2013

Jane's Night onja kidogo!

Hakika Jane alipendeza sana


Jane akiwa na Matron wake


The Girls


Safi sana. kweli mlijipanga.


Jane akiwa na mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs, safi sana.
Kwa niaba ya GRM Production nawatakia maisha mema yenye amani , upendo na furaha.

Thursday, November 21, 2013

The wedding of Niki and Elaine. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Hakika Niki na Elaine walipendeza sana

NiceNice

Picha huwa haidanganyi. Kweli Niki na Elaine wanapendana


Swagga la Baba Mwenyenyumba
NiceSwagga la Chungulia mwali
Wow i love this pix

Hapa Nimejikubali- Unusual Angle The Moment

Dah I love this. unusual angle 
Swagga la 3D
Bestman and Matron


Niki wakiwa na the girls

Nice
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more