![]() |
JK akisisitiza kuwa tusiwe na wasiwasi kuhusu swala la Gasi. |
![]() |
Hu uzinduzi uliandaliwa na TPDC. Safi sana |
![]() |
JK akiongea kwa furaha. |
![]() |
JK akisisitiza jambo |
![]() |
![]() |
Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere International conference Center |
![]() |
Dah Nimeukubali hu ukumbi |
![]() |
Nice |
Kwa habari zaidi zama hapa kwenye read more more
![]() |
Picha ya Pamoja. Nimejikubali hapa. |
![]() |
Jk akitowa maelekezo. Safi sana jamani Mheshimiwa Rais wetu yuko makini na gesi. |
![]() |
JK akipata maelekezo kuhusu Vitalu vya gasi. |
![]() |
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa umakini. |
![]() |
Hizi ni swagga zangu tu. |
![]() |
Dah hebu fikiria ingekuwa wewe ndio unatowa presentation hapa. waheshimiwa wote hawa wanakusikiliza! |
![]() |
JK kipata maelekezo kuhusu technology inayotumika kwenye mambo ya utafutaji wa Gasi |
![]() |
Waheshimiwa wakiwasili |
![]() |
Nimeipenda hi picha |
![]() |
Kama kawa vijana walikuwa makini kabisa kunuku hu uzinduzi |
![]() |
Dah hapa tulikuwa tunamsubiri Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho kikwete |
![]() |
Wadau wa Mambo ya Gasi wakiwa wamesha kaa ukumbini wakimsubiri mgeni rasmi. |
![]() |
Nice |
![]() |
Usajili. |
![]() |
![]() |
Wawekezaji |
![]() |
Nimekubali baba. |
![]() |
Swagga. |
![]() |
Safi |
![]() |
Kamanda. Dah siku hi niliamka 4:00 am Dah |
![]() |
Burudani |
![]() |
Picha ya Pamoja |
![]() |
Samahani Wadau wa GRM Production kwa Kuto update blog yetu kwa muda wa siku kama 4. Nilikuwa nalitumikia Taifa wadau. Sasa nimerudi full. |
![]() |
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kiwete akiondoka ukumbini. Jamani Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment