GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 12, 2013

Sarah's Night. Hakika ulikuwa ni usiku wa Kimasai. Safi sana.

Sarah safi sana hakika alipendeza sana na kudumisha Mila ya Kimasai

Safi Miss Masai

Mimi mmasai bwana na Sema Mimi Mmasai …… Dah mpaka nimemkumbuka Mr Ebo, RIP


Sarah akiwa na Matron wake. Safi sana

Hakika Sarah alitendea haki hili vazi lake la Kimila. Sasa najiuliza hivi wachaga wana vazi la kimila? pombe ya kimila najuwa iko!
Swagga la Kimasai

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi 

Safi


Ndafu


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Sarah akiwa na mume wake mtarajiwa

Nice

Kama Kawa Glam Madam alimtendea haki Sarah


Nice


Upendo kwa wazazi
Keki
Mheshimiwa E. Lowasa alikuweko.Upendo kwa Kamati. Kweli wamefanikisha hu usiku wa kimasai wa Sarah. 'Dream Come true' Hongereni sana wanakamati.


Jamani mwisho wa kunuku.