GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 8, 2013

Onja Kidogo jinsi Neema alivyokuwa anajianda kwa ajili ya harusi yake!

Neema akitowa swagga baada ya kumaliza maandalizi yake toka pande za Glambox


Hakika Glam Madam alimtendea haki

Neema akiwa na matron wake

Safi sana

I believe i can flyMwanamke kujiamini. Nimeipenda sana hi picha.


Glam madam akiwa kazini


Kwa Maswagga zaidi zama hapa

Safi sana

Jamani Mwisho wakunuku. Nitawaletea maswagga zaidi