GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 6, 2013

Jacklin Ladies Party!. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Jacklin Safi sana hakika alipendeza sana


Nice


Hakika Jacklin alilitendea haki gauni lake


Kwa Maswagga zaidi zama hapa
Upendo kwa Mama


Nimekubali

Jacklin akiwasili ukumbini- LamadaKeki


Zawadi 
Upendo kwa Mama

Jamani Mwisho wakunuku. Hakika ilikuwa ni bonge la party na kila mtu alipendeza. safi sana.