GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 20, 2013

Uzinduzi wa Redds Miss Dar City Center 2013. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi. Safi sana

Uzinduzi ulifanyikia Wantanshi . Safi sana Washiriki wa Miss Dar City Center

Kwa Maswagga zaidi zama hapa


Mwalimu wa warembo


Mc wa shuhuli


Namimi nikatowa swaggaMaswagga ya washiriki wa miss dar city center
Mshiriki wa miss dar city cener mwaka janaMiss Dar city center wa mwakajanaMiss Tanzania naye alikuja kutowa support

Nice

Maswagga
Jamani Mwisho wakunuku kwaleo.  GRM Production  itawaletea mchakato mzima wa kumpata Miss Dar city center 2013