GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 15, 2013

GRM Production. The wedding of Frank and Anne. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri. Chakula bado kiko jikoni


Frank and Anne hakika walipendeza sana

NiceKwa Maswagga zaidi Zama Hapa

In Love 
KekiHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani cityHakika Anne alilitendea haki gauni lake la harusi

Swagga la baba mwenyenyumba


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman and matron


The Girls
Maharusi wakitembea katika maeneo mbalimbali ya jiji la DSM. Safi sanaJamani mwisho wakunuku