GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 8, 2013

Damaris Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Damaris safi sana hakika alipendeza sana


Nice

Kwa Maswagga zaidi zama hapa

Hakika Damaris alilitendea haki hili gaunilake .Damaris akiwa na Matron wake

Damaris akiwa na mumewake mtarajiwa-Patrick ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs
Nice


Upendo kwa wazazi

Damaris akiingia ukumbini


Keki

Zawadi kwa mume mtarajiwa

Kweli Bi harusi aliotea zawadi ya kumpa mumewe mtarajiwa. kama unavyoona viatu vyake kama vimechoka hivi

Damaris akimvuwa viatu Mumewake mtarajiwa

Mume akatandikwa viatu vipya. Nimekubali hi. Sio kilasiku mishuma na mauwa!

SafiThanks Swty ndio maana nimekuchaguwa wewe. Hakika haya mameno ndiyo  Bwanaharusi mtarajiwa  alikuwa anamuambia Damaris. 

NdafuSafi sana Airtel Family

Jamani mwisho wakunuku