GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 16, 2014

Coming soon Airtel Annual Party 2014.......


Duu nimekubali hi setup. Jamani tuliruka ngoma balaa. Sasa muziki umenifanya nipige picha 8,978 duuu, kazi sasa ku-select. Najuta! Ila MaDJ walitisha. Walitukumbusha mbali sana na Olds za hatari. Chini ya DJ -JD

Ukumbi wa Diamond Jubilee-VIP

Hugodomingo waliutendea haki ukumbi. Safi sanaHapa nimejikubali mwenyewe.

Lemutus and Neywamitego!! waliwasha moto


Coming Soon!!

Thursday, December 4, 2014

Neno la Shukrani kutoka kwa Dorka catering na Dorka group of companyInaamiwia vingumu sana kutoa shukrani kwa mtu mmoja mmoja au makundi kutokana na ushirikiano wenu katika kipindi kigumu cha msiba na mazishi ya mpendwa mume wangu na mwenyekiti wa Dorka catering na Dorka group of company 
Marehemu Dr kephas kansolele Ntevi kwaniaba ya familia yangu .Ninapenda kutoa shukrani za dhati  kwa wote walio shiriki kwa njia moja au nyingine kwa kipindi chote cha msiba wa mume wangu.

The wedding of Magono and Johanna. Onja jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Magono and Johanna walipendeza sana


Safi sana. Swagga la zee madini. Chezea kitu cha Arusha-Tanza""""

The moment.Magono na Johanna wakitafakari jinsi ndoto yao ilivyotimia. Nice
Hakika Johanna alilitendea haki gauni lake la harusi. Chezea the Directorjoan

Swagga la Baba mwenye nyumba. Safi sana


Jamani the Directorjoan anaduka lake. Director Joan Boutique -kinondoni utapata nguo , mavitu ya urembo ya kina dada-malotion etc. Siumemuona mwenyewe hapo. Sasa ukitaka kutokelezea  piga number ya ofisi +255 655 520 404Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


Nice


The moment. Nimeipenda hii picha

The girls. safi sanaNice

Kwa maswaga zaidi zama hapa kwenye read more