GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 4, 2014

The wedding of Magono and Johanna. Onja jinsi mambo yalivyojiri!
Hakika Magono and Johanna walipendeza sana


Safi sana. Swagga la zee madini. Chezea kitu cha Arusha-Tanza""""

The moment.Magono na Johanna wakitafakari jinsi ndoto yao ilivyotimia. Nice
Hakika Johanna alilitendea haki gauni lake la harusi. Chezea the Directorjoan

Swagga la Baba mwenye nyumba. Safi sana


Jamani the Directorjoan anaduka lake. Director Joan Boutique -kinondoni utapata nguo , mavitu ya urembo ya kina dada-malotion etc. Siumemuona mwenyewe hapo. Sasa ukitaka kutokelezea  piga number ya ofisi +255 655 520 404Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron


Nice


The moment. Nimeipenda hii picha

The girls. safi sanaNice

Kwa maswaga zaidi zama hapa kwenye read more


Upendo kwa wazazi


Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa ledger plaza-bahari beach hotel

Nimekubali hi keki
Mc wa shuhuli. Safi sana kaka

Resty nakuona.Kitu cha blue kimekutoa. Safi sana. Jamani december imefika sasa kabla ya kusafiri kata bima. Resty ana kampuni ya Element insurance Agency basi unaweza kumpata kwenye 0657 500 005. Ofisi iko Victoria kairuki Hspt Road


Jamani mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni.