GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 28, 2011

The wedding of Evarist na Edna Na beep kidogo tu.

Evarist na Edna safi sana hakika mlipendeza sana

Nice


Safi hakika nimekubali hizi pamba. Kwanza suti ya bwana harusi pili hili gauni la Edna. 

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Hakika Edna umelitendea haki gauni


Upendo kwa Dada.Nimekubali hili swaggaEvarist akimtandika pingu Edna

Edna akimtandika pingu Evarist


Kanisa waliko fungia pingu zakuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe

Pingu


Keki
B Band walikuweko

Wadau muhimu safi sana

Mambo ya msosi yalikuwa simchezoHakika ulikuwa ni usiku wakipeke. Full Shangwe


Nimelikubali hili swagga