GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 27, 2011

The wedding of Eric na Afia Na beep kidogo tu. Chakula bado kiko jikoni

Hongera sana hakika mlipendeza sana

Eric akiwa na my wife wake Afia. Safi sana 

Nice


Maharusi wakiwa na Bestman na Matron
Hakika Afia umelitendea haki gauni. Safi sana


NiceMume wa Afia. Safi sana

Nice

Eric akiwa na Bestman
Safi sana

Nimekubali haya maswagga


Safi sana nimekubali hili swagga la beba bi harusi


The boys

Nimekubali haya maswaggaThe Girls. Safi sana hakika mlipendeza sana


Mwisho wa kunuku.