GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 7, 2011

Siku Julius alipofunga pigu za maisha na Edith. Na waonjesha kidogo tu. GRM tunawatakia maisha mema yenye furaha na upendo.

Julius akiwa na my Wife wake Edith safi sana hakika walipendeza sana

Safi sana

Nimekubali hili swagga.

Safi baba. 


Mume wa Edith

Mke wa Julius


Edith akiwa na Matron wake.

Nimekubali hili swagga

Nice

Hakika mwenye wivu ajinyonge


Best man akiwa na my wife wake J


The Girls wakiwa na Edith





Matron


Best man



The Boys

Safi sana

Maharusi wakiingia kanisani

Julius akimtandika pingu Edith

Edith akimtandika pingu Julius

Pingu

Ukumbini

Keki simchezo. Safi sana




Kama kawa MC alikuwa Kibonde

First Dance


Mheshimiwa naye alikuweko. Safi sana na mwisho wakunuku.

3 comments:

  1. Oh my God the pictures are amazing. Thanks to GRM.

    ReplyDelete
  2. mbona picha zako zina giza, au macho yangu, kaka kwa kweli hiyo background yako ni mbaya sana, jaribu kutafuta rangi ambazo zitaendana na rangi walizovaa maarusi,

    ReplyDelete
  3. giza????background huwa wanakuja nazo nyingi,maharusi ndiyo wanachagua wenyewe, GRM wanaenda na background waliyopewa maharusi.siku hizi kuna mambo ya color blocking bwana, mambo ya kumechisha yamepitwa na wakati, unapokuwa na colours tofauti u bring up the theme to life.

    ReplyDelete