GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 6, 2011

Kobil Rally Hakika kama ulimiss this time next time usijekosa. Hebu pata uhondo jinsi wanaume wa shoka walivyopambana!

Dah simchezo


Kwakweli sitamsahau huyu jama nakumbuka kunakona moja alifanya maajabu mpaka nikataka kutupa kamera iliniokoe maisha yangu

Unatisha baba


NimekubaliBabuuuuu unatishaJirani nimekubaliNani anasema eti gari lazima litembe kwa matairi manneSizani kama Sharobaro ataweza kuja kuangalia Rally. Lazima aseme kuna vumbi men, kelele men oh hatari men


Hapa nazani nilikuwa na kilo tano za vumbi. Ila its so nice jamani. kweli kama unapenda rally nazani utanielewa.  Nilifurahi kukutana na wadau wa A-town na Moshi. kweli walisafiri toka mbali kuja kucheki Rally.


Wemtoto naona unataka kumvunjia heshima baba. Eti unampita wewe.Baba naye yuko fiti alikuwa anapaa kama ndege. Jamani mtoto wake ni mwenye gari hapo ju
Old is Gold


Safi

We will miss You

Wadau tufanyeni harambe lirudi hili gari. Godi fanya mpango hata tuchangie next year lirudi

Hakika ni Vuvu Zela


Dah mdau mkubwa yani katoka mbali kuja kucheki Rally. safi sana

Sema kamanda

Wadau wa Rally namuona Kuga Peter Mzirai na Kada wakiwa nafuraha. Hapa kulikuwa hakuna JaggerMaster

Papa Godi akisoma ramani utazani ni Navigeter! Yani kama unapenda rally basi somo la jiografia nimuhimu. ukienda vibaya unaweza kukutana uso kwa uso na magari ya mashindano hapo lazima mkojo ukutoke

Umoja ni nguvu. hapa gari la jirani lilibuma. ila kwa kweli alitenda haki. Nazani ukicheki picha za juu utaona maswagga yake


Mdau akiwa makini Nimekubali baba

Huyu ndiye aliyeshinda Rally . Dah kwakweli nimekukubali. Hongera sana


Nikatowa swagga kidogo. eti jama akaniambia anipe lifti toka hapa kwenye service center -bagamoyo mpaka mlimani city nikamuambia sitaki BP labda ningekuwa maututi alafu nipandishwe na niwe sina fahamu ndio ningepanda au niwe chicha baya

Kwaleo uhondo unatosha next time mkisikia kuna rally mjee ni bure hakuna kiingilio.  Thanks Kobil