GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 20, 2012

The Wedding of David and Faith. Dokoa kidogo chakula bado kiko jikoni!

David and Faith Safi sana hakika mlipendeza sana


NiceNimeikubali hi pix

In Love


Maharusi wakiwa na Wasimamizi wao Bestman na MatronThe Girls 

Nice

Hakika Faith alilitendea haki gauni lake la harusi

Nice

Upendo kwa Kaka'sSimon alikuweko kazini kama kawa

Baada ya kazi nzito simon naye akaomba kutowa swagga

Nice

Dah Safi sana

Nice

Kanisa walipofungia pingu


Simon akimpongeza Faith aka mke wa David

Kweli katika upigaji picha Details huwa nimuhimu sana  kuzinukuuu.


Kwakweli nimewakubali Faith and David. walikuwa na furaha  sana na tulikuwa tunashirikiana vizuri wakati wakupiga picha. Na ndio maana tukapata maswaaga kibao

Dah safi sanaSafi sana

Jamani Mwisho wa kunuku.  Nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye amani, upendo na furaha.