GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 23, 2012

The Wedding of Edwin and Diana. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Edwin and Diana hakika walipendeza sana
Hakika Diana alilitendea haki gauni lake la harusi

Nice


In Love


Maharusi wakiwa na wasimamizi waoSwagga la baba mwenyenyumba
Dah nimependa hii. Safi sana

BestMan


Matron akitowa swaggaNice

Pingu

Edwin and Diana wakiingia ukumbini kwa Swagga

The First dance

In Love


Kijana wangu akiwa makini kuchukuwa matukioDah nimekuali hi keki


Ndafu
Jamani Mwisho wa kunuku.