GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 30, 2010

Ndugu wadau wa GRM Producton mwaka 2010 ndio unaishia naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya. Pia kwa maombi ya wadau wengi kesho nawaletea Harusi 27 zilizo funika mwaka huu yani 2010 Kaeni mkao wa kula. Ifuatayo ni Intro






Kazi ya Kusaka Visura inaendelea kwa kasi. Nasafari hii vijana waliingia Musoma. Hivi ndivyo mambo yalivyo Jiri.



Presenter akimuhoji maswali kisura

Namuona jaji kushoto akiwaangalia visura kabla hajaanza kuwapima urefu. Dah mbona kawapita urefu watapita kweli?
Visura wakifanyiwa Usaili. Kama nilivyo sema hapa hakuna kuchakachua kama wewe nimfupi haupiti.

Kisura akitowa swagga
Kweli musoma mnatisha safi sana.

Visura wakipozi pamoja. Yani ukiwaweka kambini na kuwapa somo kidogo watatisha. 
Safi dada.

Jiachie kimusoma

Nice. Hata flavian Matata alitokea kwenye kisura. Dada jitaidi utafika
Namuona jaji uvumilivu ukamshinda nae akatoa swagga.

Naona jaji akimfundisha pozi kisura 

Kisura akatoa swagga. 



He nahuyu kajitokezaa? mmempima urefu na paja?

Presenter akifanya mahojiano na kisura

Visura wakitandika Mirinda. Hawa Bado kujua mambo ya savana, sijui white wine? ni soda tuu!
Nipe swagga dada

Safi

Nimependa tishert yako ilivyo andikwa. Miss Popular. Safi sana dada hakika iko siku ndoto zako zitatimia

Timu ya kisura nayo ilitowa swagga
Swagga la kimirinda

Majaji wakitafakari kwa umakini

Kisura akipozi

Nakupa tano dada

Nimekubali
Kijana wangu Hamidu akiwa makini kurekodi kipindi. Hapa walikuwa wanahitimisha safari ya Musoma. Hivi vipindi vitaanza kuruka TBC 

Timu ya kisura ilialikwa chakula cha jioni. Namuona Director Nago Akikamata msosi.