![]() |
Hili ni cover la DVD |
![]() |
Abdul akiwa na my Wife Wake |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Hili swagga nimelikubali mama |
![]() |
Bii harusi akiwa na Matron wake |
![]() |
Kwakweli no comment |
![]() |
Abdul naye alitowa swagga |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
Keki ya harusi |
![]() |
Wapambaji nao hawakuwa nyuma. waliutendea haki ukumbi |
![]() |
Maharusi wakikata keki |
![]() |
Abdul na Khadija wakiwa ndani ya gari lililo wabeba. Yani huku ndani ya gari kuna mpaka kaunter |
![]() |
B band walikuwa ndani ya nyumba wakiongozwa na Banana Zorro |
![]() |
Wageni waalikwa |
![]() |
Maharusi wakivishana Pete |
No comments:
Post a Comment