GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 10, 2010

End of Year Part ya Airtel 'Part 3'. FM Academia nao walikuwemo. Kweli waliwasha moto pamoja na kuzindua wimbo mpya wa Airtel

Kiongozi  wa FM Academia alitembelea control center yetu. 

Kikosi kamili cha FM kikikamua

Samaki anavipande vingapi???Vitatu, Hebu vitaje'  Kichwa Tumbo na 'Mkia'....

Nyoosha mikono mbele tuendeshe pikipiki


Wafanyakazi wa Airtel hawakuwa nyuma waliwaonyesha FM Academia jinsi ngwasuma inachezwa.

Tingisha mkiaa

Simchezo


Yani katika sherehe hii FM Academia walileta kikosi kamili.

Mnatisha

Kichwa, tumbo na mkia ehh tingisha mkia!


Pikipiki

Vijana wakiwa makini kazini

Kweli FM Wanatisha

Kweli sherehe ilifana sana

Nyoshi nae akifanya vitu vyake

Airtel

Mh no Comment! 

Simchezo

Nyoshi akiimba wimbo mpya wa Airtel