GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, December 12, 2010

End of year party ya Airtel Vol 4. Mambo yalio jiri kwenye kochi Jekundu. Hili kochi ni maarufu sana. Linajulikana karibia duniani kote. Na ukipata nafasi ya kupiga picha kwenyehili kochi basi juwa hi ni bahati ya pekee.

Vijana wa FM Hawakuwa nyuma. Nao walipiga picha kwenye kochi

Kila mtu alibuni swaga lake

Naona Kinaja wangu Hamidu nae alipozi

Swaga za FM Academia


Nimekubali hili swaga

Warembo nao hawakuwa nyuma. kama unavyowaona kweli wamependeza

Dah simchezo

Namimi Uzalendo ulinishinda nikapozi nikiwa na Mr C. Magavila 

Nitazidi kuwapa detail zaidi kuhusu yaliyojiri siku hiyo