GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 17, 2010

Hayawi Hayawi sasa yamekuwa. Hongera sana dada Janet. Kwawale ambao hawakuweza kuhuzuria kwenye sendoff party ya dada jenet basi kaa mkao wakula. Hi ni introduction ya mambo yalivyojiri (Vol 1). Kwakweli ilikuwa bonge la party.

Mke Mtarajiwa bii Janet. Kweli dada umependeza. safi sana. 

Bi Harusi mtarajiwa akiwa na Matron wake

Dah baadae nitawaletea mambo yalio jiri kwenye mobile studio. Yani kwakweli hapa kuna swaga za kufa mtu!

Kama Kawa wapambaji wameutendea haki ukumbi wa mlimani City.

Kila baada ya dakika 5 stage ilikuwa inabadilika rangi. Safi sana

Meza zakuka wageni waalikwa.

Dah kweli sikuhizi watu wanapamba

Kila meza waliweka ratiba ya shuhuli. Basi hapa MC hawezi kuchakachua. na kila ratiba ilikuwa na picha ya bi mke mtarajiwa.