GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 17, 2010

Janeth Makondoo Send off Party.

Janeth akiwa na lazizi wake

 Mume na Mke mtarajiwa

Basi walipokutana ni full kutabasamu.

Kweli mmependeza

Mama Mzaa Chema.(Mama Janeth) kweli unajuwa kupiga pamba na tabasamu.

Safi sana

Mwenyekiti wa kamati nae alipozi kidogo


Aksante sana shangazi. Dah kweli old is gold. umenikumbusha mbali!Mzee wa insuarance naye alikuweko na my wife wake.

Yani nikiangalia hii picha bado nakumbuka kithchen party. Safi sana dada.


Woh

Muheshimiwa swaga zako nazikubali.

Janeth na Matron

Janeth na mama yake. Kweli wanapendana sana.
Kwe
Hii ndio keki . Mh No comment.


Janeth akikata keki.

Mr and Mrs

Janeth akimtembeza lazizi wake

Wakipakuwa msosi