GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, March 10, 2014

Diana's Night Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri !

Hakika Diana alitokelezea. Safi sana

Nice




Wow ! hakika Diana alilitendea haki hili gauni lake. Safi sana.

Nice




Diana akiwa na Matron wake





Diana akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Hongera sana.

Hakika wanapendana sana. Wakiangaliana tu ni tabasamu la upendo. Safi





Kweli walikuwa na furaha sana.



Swagaaa

The Team-Bestman and Matron














Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi@Serena

Dah Nimeikubali hi keki




Kwa Maswaga zaidi zama hapa kwenye Read more