GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, March 10, 2014

Diana's Night Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri !

Hakika Diana alitokelezea. Safi sana

Nice
Wow ! hakika Diana alilitendea haki hili gauni lake. Safi sana.

Nice
Diana akiwa na Matron wake

Diana akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Hongera sana.

Hakika wanapendana sana. Wakiangaliana tu ni tabasamu la upendo. Safi

Kweli walikuwa na furaha sana.Swagaaa

The Team-Bestman and Matron


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi@Serena

Dah Nimeikubali hi keki
Kwa Maswaga zaidi zama hapa kwenye Read more


Nice

Safi Kweli dogo anakipaji cha kucheza na nyoka!
NiceUpendo kwa wazazi
NiceSwagga


Keki

Jamani Mwisho wakunuku