GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, April 27, 2011

Vifaa vipya vya kazi katika season 2( April 2011-july 2011

Nikiongeza vifaa vipya vya kazi

Nikiwa katika studio ya mwalimu wangu wa photography Dubai

Nikibadilishana mawazo na mwalimu wangu wa mambo ya picha. Jama ni best photographer in Dubai

Nikiangalia setup mpya ya studio ya picha

Vifa vipya

Album mpya za picha

Hu mtambo nimeupenda sana na nimesha ushusha bongo. kazi yake ni kubadilisha rangi ya background wakati unapiga picha


Album mpya nilizo zishusha

Kempiski Dubai simchezo


Vitoboa anga vya dubai


Emirate towerWaarabu ni noma. wamejitengenezea barafu yao

Nimekubali

Ugonjwa

Jengo refu kuliko yote duniani
Hi meli ni restorant inayo elea. Unapata chakula cha jioni huku ukizunguka baharini


Dah maapartment yakufa mtu!
Hu sio msafara wa harusi. Ni mdau akienda katika shuhuli zake. Kweli waarabu wanatisha!

Nimekubali