GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, April 12, 2011

Haya jamani Kwawale wake watarajiwa kazi kwenu. Pata gauni lakufungia pingu. Kama ulimiss kuja kwenye Harusi Trade Fair Basi pata jinsi mambo yalivyojiri. Kulikuwa na bonge la Fashion Show na wabunifu wengi sana wa mambo ya nguo za pingu! leo naanza na Wedding Bell

Safi sana dada. Umelitendea haki hili gauniNimekubali
Mtaalamu wa Wedding Bells akitowa swagga. Hongera sana dada