GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, April 21, 2011

HAPPY BIRTHDAY Mtaalamu wetu wa mambo ya urembo Rehema!

Hongera kwa kutimiza hiyo miaka kadhaa! 


Naona swagga la kusonga Kilometer


Masuper model nao wanakuwish happy birthday. Wao wako pande za Kilimanjaro wanakula mbuzi

Safi sana

Nice

Sasha naye katoa salamu zake za kipekee kabisa

Simon naye katowa salamu.Anasema kashakuwa kidume

Namimi nakupa salamu hope tutakutana huko kwenye party yako uliyo iandaa pande za Uarabuni

Nikitowa swagga na kuwatakia wadau Pasaka njema