![]() |
| Hongera kwa kutimiza hiyo miaka kadhaa! |
![]() |
| Naona swagga la kusonga Kilometer |
![]() |
| Masuper model nao wanakuwish happy birthday. Wao wako pande za Kilimanjaro wanakula mbuzi |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Sasha naye katoa salamu zake za kipekee kabisa |
![]() |
| Simon naye katowa salamu.Anasema kashakuwa kidume |
![]() |
| Namimi nakupa salamu hope tutakutana huko kwenye party yako uliyo iandaa pande za Uarabuni |
![]() |
| Nikitowa swagga na kuwatakia wadau Pasaka njema |











Hawa watoto wamefanana sana baba yao. Halafu hiyo picha wako pande za moshi huyo binti katoa pozi la kufa mtu.. sijui kama mmelistukia
ReplyDelete