GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, April 11, 2011

Kikombe cha babu chazidi kutowa ajira kwa vijana. Gerage nyingi zafunguliwa Mto wa mbu!

Abiria wakipanda usafiri kwenda kwa babu mto wa mbu.  Mkonge ndio umekuwa usafiri wa uhakika kwenda huko kama kamera yetu  ilivyo nasa.

Barabara ya kwenda kwa Babu. Hapa ndipo unapoacha lami na kuanza kurudisha Imani!  Mto wa Mbu

Ajira. Sasa sijui kama hawa vijana wanaujuwa mkonge

Simchezo katika watu ambao sijabahatika kuwapiga picha ni Babu.  Lazima iko siku nitakwenda japo nipate picha ya babu kwa kutumia mkono wangu.

Imebainika kuwa VX hazijaweza kuitendea haki Samunge.

Mkonge ukiwa katika Service baada ya kupeleka abiria kupata kikombe