GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, February 27, 2013

The Wedding of Mahmood and Hafidha. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hafidha safi sana hakika ulipendeza sana

Hakika Hafidha alilitendea haki gauni lake la harusiHafidha akiwa na Mahmood aka Mume. Safi sana

NiceIn Love


Nimekubali hi suti. Safi sana


 Swagga la baba Mwenyenyumba

Upendo kwa wazazi
Nimekubali babaMahmood akikabiziwa mwali


Maharusi wakiwasili ukumbini


First Dance
Keki
Jamani Mwisho wakunuku