GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, February 6, 2013

The Wedding of Asma and Omar. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri


Omar and Asma safi sana hakika walipendeza sana


Nice

Safi
Swagga la baba mwenyenyumba


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani cityAsma akiingia ukumbini

Wageni waalikwa walikuwa wanaingia ukumbini kidigitali. Safi sana

Omar akiingia ukumbini


Zawadi ya upendo


Burudani
Jamani mwisho wakunuku!