GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 22, 2013

Butiama nyumbani kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere-Baba wa Taifa. Utali wa ndani part 5

Nikiwa safarini Kanda yaziwa kuelekea Tarime nilipata bahati ya kupita nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere. Hapa ndipo alipozikwa. Nashukuru sana kwa ushirikiano tulio upata tulipofika hapa nyumani


Hapa ndipo Baba wa Taifa alipozikwa.

Kaburi la Baba wa Taifa.





Tulipata nafasi yakutowa heshima.





Nashukuru sana kupata nafasi hi ya kutowa heshima. Kwakweli najiona sasa ni mzalendo na Mtanzania Halisi






Hapa ndipo walipozikwa wazazi wa Baba wataifa mwalimu JK Nyerere

Mazingira mazuri nyumbani. Kweli ukiwa hapa unapata hisia kuwa mwalimu bado yuko

Hili ndilo gari lamwisho Baba wa Taifa alilipanda -VX


Hi sanamu mwalimu alipewa alipokwenda Ujerumani kama sijakosea

Nikiwa na wadau


Mwalimu alipenda mazingira sana

Hi Nyumba ndiyo ile Baba Wa Taifa  alijengewa na Jeshi letu. Aliishi ndani ya hi nyumba kwa  siku 15 ndipo akaenda Uingereza kwa matibabu.

Hapa ndipo mwenge wa uhuru unawashwa na kuzimwa. 




Nikishuhudia sehemu ambapo mwenge unapowekwa . Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi tulikuwa tunakimbiza mwenge 



Nyumba ya mwalimu iko juu ya mlima

Baada ya kustafu Mwalimu alikuwa anajishuhulisha na kilimo. na hapa ndipo alipokuwa anahifadhi mazao yake anayo vuna kama Mtama NK

Sehemu yakuhifadhia mazao

Nyumba ya Baba yake Mwalimu. Safi sana imetunzwa mpaka leo



Nikitowa swagga

Mazingira tulivu na mazuri. 

Hi nyumba ndiyo ile mwalimu alijengewa na Chama cha TANU


Mwalimu alihamia Digital toka 70s. Na hichi kingamuzi ndicho kilikuwa kina mpa habari toka sehemu mbalimbali duniani na yeye huwa alikuwa anasema kaoteshwa. Kumbe alikuwa anapata news hapa. Safi sana

Nikaona namimi nitowe swagga labda nitaoteshwa

Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anapunga upepo. Basi ulikuwa ukisikia mtu kaitwa butiama kwa mwalimu ujuwe ndipo hapa alikuwa anabananishwa.

Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anaka kwenye kona

Wadau wakijaribu maswagga mbalimbali jinsi mwalimu alivyokuwa anaka






Mwalimu alikuwa mtu wa dini


Safarini Tarime. Mura nitakugesha. Basi mdau alinipa angalizo akasema nikiwa Tarime nikisikia Mura nakugesha basi nitimue mbio maana kinachofuata ni panga. Na panga likitoka halirudi


Jamani aksante sana kwa wote wanao tunza na kuhifadhi  kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere bila kumsahau  Madaraka Nyerere. Safi sana.
WITO: Kama mtu ukija Musoma usiache kupita hapa nyumbani kwa mwalimu. Unachangia kitu kidogo tu Tsh 2000 ila nikumbukumbu ambayo hautaisahau maishani mwako.

Wadau nawatakia weekend njema. Ngoja nikale ugali Mura



No comments:

Post a Comment