![]() |
| Hivi nikisema niko Ufaransa au Itali kunamtu atabisha? |
![]() |
| Kweli wanasema tembea uone. Sipati picha siku nakuja kupiga picha za harusi hapa yani itakuwa ni full Swagga |
![]() |
| Rehema akitowa Swagga . Safi sana |
![]() |
| Kama Kwa Papa vile. Dah Kweli napenda kuipongeza Parokia ya Kibosho kwa kulitunza hili kanisa. Linazaidi ya miaka 150 |
![]() |
| Dah safi sana |
![]() |
| Yani Nazidi kuwasisitizia wale wanaorudigi december katika mapumziko ya X-Mass wapitie huku japo wapate baraka. Kanisa hili liko karibia na kibosho hospital. |
![]() |
| Dah nimeikubali hi picha |
![]() |
| Jamani Mwisho wa kunuku kiswagga zaidi. Ninawatakia weekend njema wadau na aksanteni sana kwa kutusaport. Bukoba and Mwanza Kaa mkao wakula. Samaki zitanikoma |












No comments:
Post a Comment