GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, March 13, 2013

Wildaf- Present International Womens' Day. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika ukumbi wa Karimjee. Mwanamuziki Maya Azucena alikuwa ndani ya nyumba akitokea Marekani.

Dr. Judith Odunga: the National Coordinator of Women in Law and Development in Africa (WiLDAF).


Maya Akikaribishwa


Maya Azucena An American singer, songwriter and human rights activist.    Ukumbi wa Karimjee

Ukumbi kwa ndani

Maya akitowa swagga


Nikaona namimi nitowe swagga na Maya

ukitaka kupata more info za Maya Cheki http://www.mayaazucena.com
Maya akitowa Burudani kidogo
Mc wa shuhuli


Adv. Clarence Kipobota: An advocate of the High Court of Tanzania Mainland and Human Rights Activist. Ndio alikuwa mtowa Mada

Nakumbuka hi picha ilileta mjadala. Safi sana
Maya Akihojiwa na waandishi wa habari


Jioni maya aliimba katika ukumbi wa Trinity. Thanks to US  Embassy

Hakika walio pata bahati yakumshuhudia huyu dada lazima wamkubali. Safi sana
Jamani Mwisho wakunuku.